WELCOM ALL

I WARMLY WELCOME AND THANK ALL WHO ARE VISITING THIS BLOG

WELCOME TO MWANG'ONDA'S WORLD

ITS AN OPPORTUNITY FOR ALL US TO AIR OUR VIEWS IN BUILDING OUR NATION

GABRIEL MWANG'ONDA

Friday, April 9, 2010

CCM YACHANGISHA FEDHA ZA KAMPENI

Chama cha siasa kikongwe na kikubwa hapa nchini (CCM) Chama Cha Mapinduzi kimebuni mbinu mpya na ya kisasa ambayo imekuwa ikitumika
na vyama vikubwa katika nchi zilizoendelea ,ambayo hurahisisha shughuli nzima ya uchangishaji wa fedha za kampeni nakulifanya lifanyike kwa ufanisi mkubwa zaidi huku nguvu na rasilimali chache zikitumika,sherehe za uzinduzi wa shughuli nzima zitafanyika katika ukumbi wa mlimani city leo jioni kuanzia mida ya sa mbili

No comments:

Post a Comment

WE ARE IN NEED OF CONSTRUCTIVE COMMENTS