Friday, April 9, 2010
HATIMAYE NDILAHOMBA THABIT AWA CHIEF ACCOUNTANT
Kijana machachari ambaye anajua yeye ni nani na anataka kitu gani wakati gani,ameupata uchief accountant ambao alikua akiutafuta kuelekea kwenye udirector ,amekuwa akifanya vyote hivi kwa wakati husika bila kuharibu mipango mingine,kipaji uelewa bidii ya kijana huyo ilionekana pale kampuni ya kutoka ITALY na ubalozi wa ITALY hapa nchini ulivymuona akichambua kwa makini sana mambo ya usimamizi wa fedha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
WE ARE IN NEED OF CONSTRUCTIVE COMMENTS